Shughuli ya kuwateua vijana wanaotaka kujiunga na jeshi limeng'oa nanga hii leo mjini Kwanza

Shughuli ya kuwateua vijana wanaotaka kujiunga na jeshi limeng’oa nanga hii leo katika kaunti ndogo ya kwanza huku kukishuhudiwa idadi kubwa ya vijana waliojitokeza. Luteni kanali Gilbert Gichuhi alih